|
Sehemu
ya Kiswahili:
CASEC
Community Aid Small Enterprises Consultancy ni nini?
Ni Shirika lisilo la kiserikali (NGO) lenye lengo la kujenga uwezo
wa jamii ,mashirika ya kijamii, mashirika yasiyo ya kiserikali na
mashirika ya kimataifa.
CASEC
inafanya shughuli ya kujienga uwezo kwa njia zifuatazo:(a)
Kutoa mafunzo ya aina mbali mbali kufuatana na mahitaji ya jamii/mashirika
(b) Kutoa ushauri wa kitaalam katika masuala ya maendeleo (c) Kufanya
utafiti mbalimbali katika nyanja za maendeleo (d) uhamasishaji wa
jamii katika masuala yanayohusu maendeleo yao.(e) Kutoa misaada
pale inapowezekana, mfano: mafunzo bure, ushauri, utafiti nk.
CASEC
Inainua uwezo wa jamii katika kufahamu haki zao, ushirika wao,katika
kutatua matatizo yanayowakabili ili kufikia maendeleo endelevu mkazo
mkubwa unawekwa katika kujenga uwezo wa watu/jamii katika msingi
wa kuwawezesha kupambana na umasikini wa kimapato na ule usio wa
kimapato. NB: Msisitizo mkubwa unakuwa katika dhana ya ushirikishwaji
wa walengwa katika kila hatua ya shughuli zetu.
Utume
wa CASEC: Kujenga
uwezo wa jamii, mashirika ya kijamii, yasiyo ya kiserikali na kiserikali.
Back
to Top
|