|
Ombeni
Sakafu-Sociologist and Rural development Specialist - Experience
in research, participatory planning ,evaluations, assessment, capacity
building of NGOs,CBOs and Institutions ,trainer,community mobilisation.
Maria
Mongi-Social Work Specialist: Experience in capacity building
of NGOs ,CBOs and institutions, participatory planning evaluations
and assessment ,trainer, community mobilisation.
Huruma
Alfred - Journalist: Experience in youth mobilisation, HIV/AIDS
training in schools, participatory assessments, trainer, community
mobilisation.
Elimashoya
Lema - Driver: Experience in community mobilisation, field programme
guide.
Sehemu
ya Kiswahili
Muundo
wa Shrika: Mkurugenzi Mkuu wa shirika anawajibika kwa Wakurugenzi
wengine ambao wamo katika Baraza la Wakurugenzi. Chini ya Mkurugenzi
Mkuu wamo Afisa Miradi, Wasimamizi Miradi, Secretari na Dereva.
Wafanyakazi:-
Wafanyakazi wa CASEC wametokea kwenye nyanja mbalimbali za ujuzi
na utamaduni hivyo kuifanya CASEC kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa
huduma bora na ya hali ya juu.
CASEC
ina wafanyakazi wafuatao muhimu:
Mkurugenzi
- Mwanauchumi: Ana uzoefu wa miaka mingi katika fani ya biashara,
Usimamizi, kazi za maendeleo ya jamii zaidi ya miaka 30, uundajwi
na uanzishwaji wa mashirika yasiyo ya kiserekali, Mashirika ya kijamii,
uwakilishwaji wa jamii, mipango maendeleo, tathmini, utafiti, ujengaji
uwezo na mtandao, usuluhishi maendeleo.
Afisa
Mradi - Mwanauchumi: Ana uzoefu katika njanya za utetezi,
ushirikishwaji wa jamii katika maendeleo, tathmini, uendeshaji mijadala
na warsha mbalimbali, elimu ya uchumi na madeni, ujengaji uwezo
wa mashirika.
Afisa
Mradi - Mtalaam wa masuala ya jamii na Maendelo vijijini:
Ana uzoefu katika nyanja za utafiti, ushirikishwaji wa jamii katika
mipango ya maendeleo,utoaji tathmini, ujengaji uwezo mashirika na
taasisi mbalimbali, Mwendeshaji mijadala na warsha mbalimbali.
Afisa
Mradi - Mtaalam wa masuala ya jamii: Uzoefu katika ujengaji
uwezo wa mashirika yasiyo ya kiserikali, mashirika ya jamii na kiserikali,ushirikishwaji
wa jamii katika mipango ya maendeleo,utoaji tathmini, Mwendeshaji
mijadala na warsha mbalimbali.
Afisa
Mradi - Mwandishi habari: Ana uzoefu katika kuwahamasisha
vijana, kutoa mafunzo juu ya Ukimwi mashuleni, tathmini, ushirikishwaji
wa jamii katika mipango ya maendeleo.
Msimamizi
- Ana stashahada ya mambo ya secretarial na usimamizi wa ofisi
Dereva-
Ana uzoefu wa siku nyingi kwenye udereva, ushirikishwaji wa jamii
katika mipango ya maendeleo na maeneo ya miradi.
Back
to Top
|